Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai ama Laa....Vipi haimbi tena kama yu hai.....Ramadhani hii anatuacha hivihivi...COME BACK....