MWANA F.A featuring LADY JAYDEE

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Hii chemistry ilikuwa balaa kila wimbo waliotoa ilikua hit song kwa mfano Hawajui,Wanaume kama mabinti remix,Msiache kuongea,Sikiliza featuring Mangwea-RIP,Alikufa kwa ngoma.
Alafu kuna collabo pia walifanya wimbo mmoja hivi Mwana F.A anazungumzia kifo chake atakapokufa jina lake limenitoka kidogo
 
Kwenye wimbo wa alikufa kwa ngoma Jide kaimba balaa, kwakweli ni bonge la song ...Hebu tujikumbushe

Chorus

Hakuonekana na binti
Hakuwahi kuiasi dini
Shujaa wa maadili
Iiiiiii lakini alikufa kwa ngoma

Alirudisha waliopotea
Akawapa tiba mbadala
Xxxxxxxxxxxxx lakini alikufa kwa ngoma

Hebu jazieni mistari
 
Kibwagizo

Hakuonekana na binti,
Hakuwah kuiasi dini
Mfuasi mzuri wa maadili lakin alikufa kwa ngoma

Alirudisha waliopotea,
Akawapa tiba mbadala,na adui mkubwa wa zinaaa lakin alikufa kwa ngoma...

Verse 1

Najaribu kumjengea picha,mshkaji alie kalala ndani ya futi sita,namkumbuka,mtaani alipokua nakatisha na mara kadha maskan na washkaji ungemkuta,usingedhan ana ngoma,machon alivyokua mwema
Mzuri mtanashati ungewaza kabla ya kusema,
Ibilisi wa njia za mwili daima alimchezea mbali
Tungi vicheche mineli hakuonekana kujali
Tazama maisha yake
Hutaliona kosa lake kama alifunga kufuli katikati ya nyeti zake,mkali wa ushauri nasaa,,,aliongea kuhusu mapenz huku akiipinga zinaaa
Ungesema achague kipindi angechagua njia pandaa,nyumba aipendayo angechagua ya ibada,,
Utepe mwekundu mpka kwenye nguo zake za ndani nadhan mimi najali wewe je kama alikufa kwa ukimwi jiulize alijali nini..

Chorus Jide
Hakuonekana na binti hakuwah kuihas dini,mfuasi waaadili-lkn alikufa kwa ngoma
Alirudisha waliopotea akawapa tiba mbadala,adui wa zinaa-lkn alikufa kwa ngoma

verse 2 fa[/]

Mara nyingi alikua mpole
Mara chache alizoongea zote tulimgeuza shule,,nasaha za bure kama tupo class vile
Akatuasa kuhusu kuhusiana,akatuonya kutoaminiana,,mtazamo wake na mama TERI daima ulifanana
Hadithi ya maisha yake ilikua safi kama nabii,hakuna mwsho wa mshkaji utakua mamna hii,,
Aligawa sana condom na kutufunza kama angaza,vijarida vya ukimwi yy ndio alikua msambazaa,, ina maana alikua anatoa bila zake kubakiza au amekua UFUNUO mola anaonyesha miujiza--- tazamaaaa

Siku zinakata hatumwoni nini kasoro,afya yake aieleweki eti imeanzisha mgogoro,leo anadunda kesho mgonjwa na hataliacha godoroo "labdaaaa" alifanya kwa siri hadharan hakuna shahidi "labdaaaa" alivumilia snaa mwisho kuasi kukambidi,,amail imekua kama ajali kama alipiligwa na radi--hatujui-- hatuwez sema na bado tuna shangaaa vip vipimo vinasoma mshkaji alikufa kwa ngoma...

"Chorus jide"

Usijarib kuibadili nyekundu kua njano,huu ni mfano,kwamba ukimwi ni kwa wote wembamba na wacheza SUMO wazinz,wema pia wamo,na hauji kufuata kimo,

Ungedhan uko salama kuliko usalama wenyewe,,utadhan ukimwi utaogopa utamwacha mshkaji mwenyewe,,"sivyooooo,,"haufanyi utakavyo wewe unafanya utakua wenyewe,

Hakuonekana na binti hakuwai kuiasi dini mfuasi mzur wa maadili,,lakin alikufa kwa ngoma

Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala na adui mkubwa wa zinaaa-lakin alikufa kwa ngomaaaaa

Amsha akili,janga kanga ulibebeee,siwaambii msihusie,sisemi zipu mfungue,sisemi muache kuwa wema ila ujinga usiendee,,kwamba kila anaekufa kwa ngoma msidhan kicheche,tuamin bado ni wenzetu msiache wagongwa wajifiche....

Chorus Jide....

Long time kitambo hyooo wakat mziki ulikua mziki na ujumbe
 
Asanteeeee umenikumbusha kitambo ,watoto wa baada ya kifo cha Nyerere hawawezi kuelewa
 
Napenda vitovu ila naogopa shanga,,labda bado mtoto ama labda bado mshamba,,fa pale kati kasimama Dully wacha kabsaa
 
Mwana FA anafanya Sanaa ya Music kwa watu wasiojua Music bora

Eti Harmorapa siku hizi ni Maarufu kuliko mwana FA
 
Kwenye wimbo wa alikufa kwa ngoma Jide kaimba balaa, kwakweli ni bonge la song ...Hebu tujikumbushe

Chorus

Hakuonekana na binti
Hakuwahi kuiasi dini
Shujaa wa maadili
Iiiiiii lakini alikufa kwa ngoma

Alirudisha waliopotea
Akawapa tiba mbadala
Xxxxxxxxxxxxx lakini alikufa kwa ngoma

Hebu jazieni mistari
Mkuu kama uko na hii
Song uiweke hapa au
Link kama uko nayo
 
Back
Top Bottom