Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,526
HADITHI APP
Ukuaji wa teknolojia nchini Tanzania ndiyo mwanzo wa kukua kwa mambo mengi ya kijamii, mifumo mbalimbali ya kijamii hubadilika kuendana na mabadiliko hayo ya kimaendeleo. Hata nchini Tanzania suala hili limechukua nafasi yake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo hii ya kitabu kiganjani mwako.
Huna haja sasa ya kuitafuta fasihi andishi maktaba ikiwa muda wako ni mchache mno wa kufanya hivyo. Huna haja ya kuhangaika madukani kusaka nakala ngumu ikiwa wewe ni mpenzi mno wa hadithi na unahitaji uweze kuzisoma kwa njia rahisi zaidi. Teknolojia imeturahisishia kazi na hivi sasa tunakuletea HADITHIAPP kwenye simujanja yako. Unaweza kuperuzi na kujisomea hadithi za aina mbalimbali, kila unachokipendelea naamini hakiwezi kukosekana ndani ya ‘Application’ hii.
Mpenzi wa riwaya za kipelelezi, kimaisha, kimapenzi, kichawi, kijini, vichekesho na hata zile ambazo ukizisoma lazima ubane miguu ili usiweze kuadhirika(Chombezo) kwenye kadamnasi. Zote zipo ndani ya Applicationa hii yenye kujaa elimu ndani ya burudani, mafunzo maandishini. Wakati ni wako huu kuweza kukutana na waandishi waliyobobea kwenye Sanaa zao, wenye kujua namna ya kukonga nyoyo yako kupitia maandishi yao. Kutana na;
-George Iron Mosenya
-Frank Masai
-Hussein Mollito
-Hassan O Mambosasa
-Richard Mwambe(Kamanda Amata)
-Zuberi R Mavugo
-Tatu Kiondo
-Teddy Andrew
-Zainab Tally
-Paul B.R Mtobwa
-Eliado Tarimo
-Emmanuel F Kway
-Pablo Hernandez
-Zuberi M Maruma
-Jane Davis
Na wengine wengi wenye kuusogeza vyema mbele uadishi wa fasihi, ewe msomaji na mdau wa fasihi. Nafasi ni yako sasa, unangoja nini? Hutaki kukutana na burudani bomba zenye kusisimua, kama hizi
Hadithi mbalimbali
Kategori za Hadithi nyingi zaidi
Unapata fursa ya kuwafahamu watunzi wako mahiri
Kuielekea hadithi
Kulipa kibubu chako uweze kununua hadithi uipendayo
Zipo za kusoma na pia kusikiliza
Unaweza kuipakua hadithi mahala hapa na kuisoma hata muda ambao huna mtandao, wakti ni wako sasa
Kupakua 'Application' hii kwa watumiaji wa simu za android nenda hapa >>Hadithi - Android Apps on Google PlayHadithi - Android Apps on Google Play