Nilivyosema Muziki Wa Darasa hauna quality, kuna watu walinibeza, sasa yako wapi?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!
 
Wimbo una zaidi ya views Milion ndani ya wiki tu U tube........

Watu wangonga show kama kawaida au unazungumzia mafanikio gan......?

Utakua umeanza kumfwatilia Darasa juzi juzi ila kuna watu wanaelewa vizuri jamaa anakipaji na anawafuasi wake wa tangu na tangu kuacha hawa mashabiki.......
 
unaongozwa na mahaba siyo uhalisia
 
Wimbo una zaidi ya views Milion ndani ya wiki tu U tube........

Watu wangonga show kama kawaida au unazungumzia mafanikio gan......?

Utakua umeanza kumfwatilia Darasa juzi juzi ila kuna watu wanaelewa vizuri jamaa anakipaji na anawafuasi wake wa tangu na tangu kuacha hawa mashabiki.......
Hizo views na yangu ikiwamo ingawa sijaupenda, views haimaanishi wmbo unapendwa, ni matatajio ya wengi walidhani ungekuwa wimbo mzuri kwao!
 
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!

hao watu milioni moja wanaangalia nini??

we mchawi mkuu, maskini na ua roho ya kwa nini!!!

utataabika sana dunia hii, bora uwe mbu au kuku uchinjwe ....uende chooni
 
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!
Kwani hasara roho ni remix ya muziki au nimeisikiliza sijaelewa nini maana ya kurudia style ya kuimba
 
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!

Mkuu yaani ID yako ' nikiisoma ' tu kutoka nyuma kuja mbele nafurahi sana kwani namwona ' Member ' mmoja hivi ' maarufu ' mno humu JF. Hongera kwa ' ubunifu ' wako huo wa kutukuka.
 
Kazi ya fasihi ni kufundisha, KUBURUDISHA, kuonya ! Kama kakosa viwili hicho kimoja anacho! Halafu peruzi peruzi kuna ajira mpya zimetoka!
 
Kwa maoni yangu, hasara roho ni mxiki kuanzia utunzi,vina,mashairi naona vyote vimekaa vizuri..ila amekosa bit nzur!!.,watu walikuwa na perception ya kuwa Kama ngoma za majani za zaman ujazo wa bit!.
So kilicho muangusha ni hilo beat!
 
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!
Tatizo linakuja alifanya hit song hatar tatu mfululizo
Amekuja kutoa wimbo haukufika kwa hio alotoa mara ya mwisho ya muziki ila Bdo ni wimbo safi kabisa
 
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki alibahatisha.

Sasa wengi mtakubaliana na mimi kwani wimbo huo hata haujamaliza wiki kwenye chati umeshapotea!!!!! Kweli muziki kipaji!!!!
Mbona mziki mswanu tu
 
Kama ndo style anategemea kumantain nayo tayar ashapotea lkn km atachange mbele ya safar bac kunaweza kuwa na mafanikio
 
Back
Top Bottom