Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Kati ya watanzania wanaomkubali Juma Nature basi na mimi nimo. Imefikia kipindi nikipishana na ka mwimbo kake kokote mahali popote pale nasimama hadi kaishe ndonaendelea na safari. Nimejaribu kutafta album yake yoyote sokoni nimeikosa. Juma eeh tunaomba ugonge kopi utumwagie kitaaani wadau wako. Au kama kuna anajua zinapopatikana naomba anielekeze....