Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop...
KAHAMA: ARDHI ILIYOLAANIWA NA DHAMBI
Katika jiji lenye utajiri wa madini lakini limejaa giza la vita na usaliti—Kahama—shule ya kifahari inasimama katikati ya machafuko, ikificha ajenda kubwa...
I hit the weed, I told myself the last time would be my last
I don't trust my own niggas, now my mind racing fast
Got my foot up on the gas, got a hundred on the dash
If the police run up on me, I...
Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna.
Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza...
Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6...
Habari wana jamvi,
Kuna kipindi kinafika unatamani ukae na familia muangalie movie zenye story za kufunza au movie zenye maudhui mazuri ya dini.
Leo nakuletea movie & Tv series maarufu...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12...
Holy Moses I have been removed
I have seen the specter he has been here too
Distant cousin from down the line
Brand of people who ain't my kind
Holy Moses I have been removed
Holy Moses I have...
[Chorus]
Sifa ya Uandishi
Tunga bila Sifa
Nikifa na Sifa nzuri
Ni Sifa kwa alionisifu
Mistari 16
Uvumi unasikika
Lini mistari ya Mhuni itakwisha?
Tungo zaidi ya Sifa
Mdundo wa Kibabe
Mikunjo ya...
[Verse 1]
When I find myself in times of trouble
Mother Mary comes to me
Speaking words of Wisdom
Let it Be
And in my hour of darkness
She is standing right in front of me
Speaking words of...
Asalamaleku nyote!
Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye...
Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha.
. Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda...
Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit...
Ni paschal Cassian baada ya kutowa ule wimbo mtakamata wangapi,akatowa tena Freedom na sasa katowa Damu zinawalilia.pamoja ya kwamba amesema yupo hatarini ila hajakaa kimya.
Imeandikwa na Lello Mmassy
UTANGULIZI
Naitwa Joseph Kaduma Ndani Ya Serikali Ya Nchi Ya STANZA Watu Hupenda Kuniita Joe.Nina Nusu Saa Tu Ya Kuamua Kati Ya Maisha Yangu,Familia Yangu Na Utajiri...
JUMBA LA WACHAWI
Mwandishi/mtunzi; Zulfa Huseni
SEHEMU YA 1
UTANGULIZI;
Gari lilikuwa likiendeshwa kwa kasi mno, ni kwenye barabara ya Alhasan mwinyi, ni gari dogo aina ya Hyundai ya rangi ya...
miaka ya nyuma ilikuwa si jambo baya kumsikia mwanamuzi akiimba wimbo kwa nafasi ya mwanamke akimsemea kwa kuwa wanawake wengi hawakuwa waimbaji katika bands. mfano wimbo wa kassongo ni mwanamke...
FIRST LOVE
Imeandikwa na lucasmax
Ig.lucasmax304
Tiktok.lucasmax304
+255743163081
Episode ya 1
Mama yake alitoa macho mithili ya jambazi lililohukumiwa kunyongwa hakujua ni sababu gani...