I can't live, if living is without You

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Kwako Mary,
Najua haupo humu, na sitaki ujue..

Najua ninaweza kukueleza haya ila moyo unasita. Moyo unagoma, naona ugumu mno kukueleza
Umenikosea, nimekukosea tumekoseana.

Umeomba msamaha, nimeshindwa kukusamehe.
Pamoja na yote bado moyo unakupenda, nakupenda sana.

Nashindwa kurudia lile penzi, nashindwa kabisa.

Lakini laiti ungejua"kuishi bila wewe nashindwa" nilikuzoea

Acha maisha yaendelee, nitazoeaa.



Sent From Ikulu-Magogoni street
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom