Msaada wa kupata hizi nyimbo za miaka ya tisini.

Msaada wa kupata hizi nyimbo za miaka ya tisini.

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
834
Reaction score
156

HAJARI ZENU WANA JAMVI?
Msaada kidogo, kuna nyimbo fulani za kipindi cha miaka 90 huko , ninazitafuta ila nime sahau majina yake, kama utaweza tambua lyrics nitakazo weka nitashukuru kama utaweza nitajia ni nyimbo gani na nani kaimba .

1 . Nadhani nyimbo inaitwa "Happiness" ,sikumbuki chochote zaidi ya line ina sema "Im looking for happiness" or " Im searching for happiness".
2. Nadhani nyimbo inaitwa "I dont want you to know " or "I dont want you to go" ,
baadhi ya mistari ina sema " oooh maybe i was a lie , or maybe i was wrong, but i need you more than ever ,so baby you v got to hold on ,I dont want you to go , baby,...cause im gonna make sure , gotta let you know ,baby , you know i love you" halafu part ina sema "Give me your mother f*cking baby"
3. Nadhani ina sema "cause we dont know what love is ,sooner or later when you come back to me baby " halafu kuna part ina sema "Do the right thing" halafu inakuja rap .

Nimetafuta sana hizi nyimbo nimeshindwa zipata kwa yoyote atakaye okoa jahazi nita mshukuru sana ,asanteni
 
Watu vichwa vyenu vinatunzaga Ugoro tu, Muda wa kukariri mistari ya nyimbo tena za kihenga mnautoaga wapi?
 
Watu vichwa vyenu vinatunzaga Ugoro tu, Muda wa kukariri mistari ya nyimbo tena za kihenga mnautoaga wapi?
Ila , muda wa kusoma usiyo ya jua unao eeh? Sasa wewe umekulia kijijini miaka ya 90 labda hata hujui kuvaa viiatu , utajuaje haya? .Kama hata kichwani kwako hakuna chochote cha burudani unacho kijua ,why nikusikilize mtu usiye na social life, je wewe starehe yako ni nini haswa, kununua malaya wa bei poa ?
 
Tunza kumbukumbu za maana bitch, zitakusaidia kuliko shudu hizo zisizokuingizia hata mia.
 
Na tutawahamisha wote mjini hapa, muda utanena. Nyie ndo mtarudi bush huko, akili zenu si zimejaa burger na nuggets.
Utaanza wewe kabla hujaleta mkeo toka kijijini kwenu , hebu niambie lini mara yako ya kwanza kupanda basi kuja Mjini?
 
Back
Top Bottom