Movie ya London Has Fallen

david steve

JF-Expert Member
May 17, 2015
835
1,000
Nadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.
labda walibadili jina ila nakumbuka jinaa hlo
ndege hzo zilipita jiran na office starring jina nmesahau akazishuhudia kwa macho
 

SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
2,763
2,000
Nadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.
Tatizo Jemmy Fox(Mr President) kacheza comedy kibao as if sio rais bana...

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom