Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,920
- 82,239
inaitwa hurry up tomorrow kuanzia hii wake me up na Sao Paulo kamshirikisha bidada kutoka Brazil anaitwa Anita Album kalii sana.
mshamba_hachekwi atakufundisha mwayaNingesikiliza ila tatizo Lugha..!
Nzuri sana hii albumBado natafuta muda wa kufaaaa 🤗
Itafute kalii sanaNgoja niruke nayo..
Ulisikiliza na remix yake yupo na Ariana grande?Huyu jamaa wimbo wake bora wa muda wote kwangu save your tears🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 3219837
Sema sielewi nyimbo zake sio hamna msaniiHamna msanii hapo
Hamna kitu hapo huyo Teja kelele kibao anaitumia nguvu nyingi sanaSema sielewi nyimbo zake sio hamna msanii
Wewe ndio teja mkuu yeye mwenzio anaimba mziki mzuri kama umezoea kusikiliza miziki yenu ya kibongo huyu huwezi muelewa kwanza unaijua hata nyimbo yake hata Moja kwanza wewe hivi unasikilizaga miziki Spotify?Hamna kitu hapo huyo Teja kelele kibao anaitumia nguvu nyingi sana
Wewe ndio teja mkuu yeye mwenzio anaimba mziki mzuri kama umezoea kusikiliza miziki yenu ya kibongo huyu huwezi muelewa kwanza unaijua hata nyimbo yake hata Moja kwanza wewe hivi unasikilizaga miziki Spotify?
View: https://x.com/chartdata/status/1904312284060565986?t=dCgPp9i66jFZMSo7z2fHvw&s=19.
Cc mshamba_hachekwi min -me
Isikilize mkuuBado.
Sasa wewe ndio mshamba ndio maana hata Spotify haujui ni msanii Gani mwenye wasikilizaji wengi kule sasa unajua usikilizi nyimbo zake ndani ya Uzi huu ulikuja kufata niniWe jinga kweli nisikilize nyimbo za mshamba huyo anaeforce kuomba Kwa kutumia minguvu kibao
Huyo anasikilizwa na washamba kama nyie msiojuua mziki unasema wasikilizaji wengi hata porno zinawatazamaji mabilionSasa wewe ndio mshamba ndio maana hata Spotify haujui ni msanii Gani mwenye wasikilizaji wengi kule sasa unajua usikilizi nyimbo zake ndani ya Uzi huu ulikuja kufata niniView attachment 3282792
Kumbe hata kuandika vizuri hauwezi mwanetu sasa utamuelewa vipi the Weeknd eti kuomba ni kuimba mkali 😀😃😃😃We jinga kweli nisikilize nyimbo za mshamba huyo anaeforce kuomba Kwa kutumia minguvu kibao