Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
Kimbia, Polisi maskani wakivamia
Wakikudandia, hakika hawatakuachia
Wakukute umetulia, au kipisi unamalizia
Au labda kuna mchizi tu ulikuja kumuulizia
Wanapoingia, nakushauri kimbia
Wakikudandia, ujue watakuharibia
Na kama huna mshiko, kukuacha ni ndoto
Watakupa kesi ya kukudaka na gunia la msokoto
Wakikumind kichizi wanakupa kesi ya chamoto
We kimbia, kimbia acha kusinzia
Maskani sio sehemu ya kuja kusikilizia
Ka wewe ni mchizi wa kitaani au wewe unakula jani
Unapokuja maskani usifikiri upo nyumbani
Maskani kama vitani, kuwa makini sio utani
Kama unaweka roho ubaoni au kama kidume unyagoni
Maskani hakuna ujirani, ukidandiwa peke yako usitaje ulikuwa na nani
We kimbia tu kimbia,polisi mshikaji nyumbani
Unapofika nae kituoni anakuacha kama hakuoni
Mwisho wa siku unajikuta viatu na mkanda ubaoni
Na wewe mwenyewe ndani.