Mimi ni msanii chipukizi

Mimi ni msanii chipukizi

Kababrah

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
58
Reaction score
80
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu.

Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo.

Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo wenye vipaji zaid yangu lakin bado wanakosolewa na kuchukiwa labda kutokana na tabia zao au na uimbaji wao na vilevile pia hupendwa ndio binadamu tulivo.

Lengo na madhumuni ya kupost ujumbe huu ni kwamba wanadai ama watu wengi wana sema kila kitu ni [ connection ].

Huenda kuna mtu anaweza nisaidia kwa ushauri ama kama kuna studio au label ambayo wanatafuta wa sanii kwa mkataba pia kama kuna tamasha lolote la kusaka vipaji naombeni connection na mm niweze fika kujaribu bahati yangu.

Najua na pia naamini hakuna aliyejuu bila kusaidiwa ama kushikwa mkono na kufika pale anapopahitaji.

Yaweza kuwa serikali, wazazi, ndugu ,jamaa na marafiki.

Ahsante na nashukuru pia kwa kusoma ujumbe huu [emoji120]
 
Mungu akusimamie kwenye safari yako ya kuonesha kipaji na kufanya kile ukipendacho. Katika kipindi hiki cha COVID 19 ambapo shughuli nyingi za burudani na matamasha ni kama zimezorota na msisitizo mkubwa ni kwenye kukaa nyumba, huu ndio ushauri wangu

Ushauri:

- Pamoja na mengine yote unayofanya, unaweza pia kuanzisha akaunti za mitandao ya kijamii, ukashirikisha watu, ukaweka na demo zako ili watu wengi zaidi waweze kukuona na kuona kipaji chako. Muda mwingine kuona ni kuamini ....

- Unaweza anza na Twitter, Instagram etc

Otherwise, you right very humble and I just wish you nothing but the best
 
Sawa Kaka nimekuelewa Sana Nitaufanyia Kazi Ushauri Wako [emoji120]
 
Safi pambana kijana utatoka tu hata kina Kiba walikuwa kama wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom