Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa mara ya Kwanza toka 2009 nilipoanza kuchek series za 24 na prison break nilishamaliza kufananisha na series yeyote duniani nakumbuka mwaka 2010 nilichek pia series moja tamu Sana inatwa...
49 Reactions
160 Replies
24K Views
Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini Master J amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na Simulizi na Sauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na...
2 Reactions
6 Replies
787 Views
Rapa Darassa amekerwa na tabia ya Billnass na G Nako kumuita studio na kurekodi nae kisha nyimbo hazito, awachana kwa roho zao za kukunja.
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi? Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby...
1 Reactions
50 Replies
3K Views
NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta...
1 Reactions
0 Replies
575 Views
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa. Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa. Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji. Imba...
1 Reactions
18 Replies
810 Views
Legendary actor Gene Hackman and his wife has sadly passed away at the age of 95. Rest in peace Gene Hackman. Oscar-winning US actor Gene Hackman, his wife Betsy Arakawa and their dog have been...
2 Reactions
6 Replies
623 Views
Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Trachtenberg was found dead Wednesday in her New York City apartment by her mother. It was reported the actress recently underwent a liver transplant after battling alcohol issues and 'may have...
2 Reactions
2 Replies
570 Views
Sinners ni filamu mpya ya kutisha inayoongozwa na Ryan Coogler, ikimshirikisha Michael B. Jordan katika nafasi kuu. Filamu hii inatarajiwa kutolewa tarehe 18 Aprili 2025. SHORT STORY Katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Genre: Thriller, Crime, Drama Date: 2014 Rate: 7.1 IMDb PG: 18+ Origin: South Korea Time: 2h 2m _____________________ SHORT STORY Mvua ilikuwa inanyesha kwa nguvu, ikitengeneza vidimbwi...
2 Reactions
2 Replies
364 Views
YESHUA - AVION BLACKMAN
1 Reactions
8 Replies
379 Views
▪️ Genre: Horror, Mystery, Thriller ▪️ Date: 2024 ▪️ Rate: N/A ▪️ Origin: USA ▪️ Time: N/A SHORT STORY Baada ya kuhama kwenda kwenye nyumba ya zamani pembezoni mwa jiji, Laura Sollet...
2 Reactions
4 Replies
523 Views
▪️ Genre: Sci-fi, Horror ▪️ Date: 2017 ▪️ Rate: 7.1/10 (IMDb), 80% (Rotten Tomatoes) ▪️ Origin: USA ▪️ Time: 1h 59m SHORT STORY Katika siku za machafuko na utafiti wa anga za mbali, kundi la...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
▪️ Genre: Thriller, Mystery, Drama ▪️ Date: October 16, 2024 ▪️ Rate: N/A ▪️ Origin: South Korea ▪️ Time: 90 minutes SHORT STORY Filamu hii ya kusisimua inamhusu Jun Woo, kijana...
1 Reactions
4 Replies
486 Views
KABZAA (2023) ▪️ Genre: Action, Crime, Drama ▪️ Date: 17 March 2023 ▪️ Rate: 6.1/10 IMDb ▪️ Origin: India ▪️ Time: 2h 16m SHORT STORY Filamu hii inamhusu Arkeshwara, mwanajeshi wa Jeshi la...
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Story ni kwamba vijana wanaofanya mziki wa rock kuendesha maisha yao wanapewa mchongo wa kwenda kupiga show ktk bar fulani iliyo nje ya mji, bar ambayo ina wahuni kama wote. Kwa kuwa ndo kazi yao...
2 Reactions
3 Replies
235 Views
Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha. Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu...
2 Reactions
104 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…