Magazeti ya kesho: Simba yachomoa kwa taabu kwa msaada wa refa

Faulu imepatikana dk ya 93 lakin kutokana na mzozo ikapigwa dk ya 95.
Sio wote wanaoangalia mpira wapo serious wengi wao ni kupiga kelele zisizo na mantiki!
 
Achana nao wanakupotezea time tu.. SIMBA NGUVU MOJA
 
Kwa mwaka jana ndala fc silikuwa mbeleko yawezekana imeamia kwa wapinzani wao roho zisiwaume.
 
Tunasubiria kombe letu kutoka fifa msitutanie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom