Adam Zuberi vs Zuberi Zomboko nani zaidi?

Adam Zuberi vs Zuberi Zomboko nani zaidi?

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,509
Reaction score
45,123
Wote hawa ni wachambuzi wa muziki wa dance hapa nchini, Adamu akiwa kitu cha City FM na Zomboko akiwa ITV na Redio one.

Sisi wapenzi wa dance naomba tupige kura nani zaidi? Mimi kura yangu inaangukia kwa Adamu Zuberi, Jamaa ni hatari sana kwa uchambuzi wa mziki huu wa dance hapa nchini.
Mwisho wa thread kura zitahesabiwa na nitatoa matokeo rasmi - kura ni za wazi
 
Mie namjua Rajabu Zomboko....huyo Zuberi.
 
Huyo Zomboko,taarifa za muziki na wanamuziki wa Dansi,mmoja wa waalimu wake ni Adamu Zuberi.Zomboko mweupe kabisa kwa Adamu
 
Zomboko ni mweupe huyo adam zuberi anaweza kidogo kumkaribia Masoud masoud
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom