Tamasha la Diamond znz ladoda ,mashabiki wasusa..aibu ya karne

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
71103c729bc450b71e3c3fee899c839e.jpg

Wana jukwaa Diamond yupo zake Zanzibar kufanya show jambo la kusikitisha wazenji wamesusa ,show ya diamond imekuwa na watu wachache na mapengo kila mahala

Wazenji huu si uungwana hata kama ubusy sio kihivyo mbona kwenye hadhara ya MH mlijazana
 
Mhuu hizo chuki tu habari hii umeitoa wap....
Yan kila kinachosemwa kuhusu mond ni tofauti na uhalisia!!
 
Ila Kama kweli amesusiwa maana nimeona video ikitrend hakuna watu kabisa labda alikua anamalizia wimbo wake wa mwishoni.
 
Mkuu baada ya kupost hii thread basi nafsi yako imesuuzika kabisa. Safi sana we ndio Mtanzania halisi.
 
Muziki ni biashara kama ilivyo kwa biashara nyengine...kuna siku unauza sana na kutengeneza faida nzuri na kuna siku biashara inadoda na kupata hasara pia...so ni kawaida sio kila siku itakuwa the same,na hii haimaanishi wazenji walimsusa sema pengine timing haikuwa nzuri tu.

Kwa zenji hakuna msanii anakubalika kama Mondi,wengine wanachukuliwa kawaida tu. Kwa hiyo,mleta uzi hii sio habari (kwa sauti ya Idriss Sultan)
 
Back
Top Bottom