Hii michezo ya utotoni niliipenda sana

Hii michezo ya utotoni niliipenda sana

Ack

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
88
Reaction score
87
Kila mtu kuna mchezo ambao aliupenda enzi za utoto, na kama hakucheza michezo utotoni basi wewe atakua na kasoro.

kiukweli mimi ukiacha mchezo wa kombolela mchecho mwingne nilioupenda ni huu:

Kidari poo
Tobo bao
Kivitavita
Cha ndimu
Kibaba baba
Gololi
 
Kila mtu kuna mchezo ambao aliupenda enzi za utoto, na kama hakucheza michezo utotoni basi wewe atakua na kasoro.

kiukweli mimi ukiacha mchezo wa kombolela mchecho mwingne nilioupenda ni huu:

Umenikumbusha mbali sana kijana.
Mwisho ni mwa mpaka ya 70 watoto wa Kigogo,Tabula na maeneo ya karibu tulikuwa tukishuka bonde la msimbazi kupiga mbizi kama hiyo hasa nyakati za mvua.
Miaka hiyo mto msimbazi ulikuwa unafurika alafu hakukuwa na viwanda vvya kutiririsha kemikali kama sasa sema kichocho kilikuwa hakituachi
 
kuoga kwenye mvua nzito .hata ikianza usiku wa manane mi naamka tu..

nimecheza mingi sana ila huu nautamani bado..sema udada huu na watu wataona.
mingekuwa peke angu tena ndani ya fence......
 
Back
Top Bottom