50 bora za miaka 50 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50 bora za miaka 50

Discussion in 'Entertainment' started by Speaker, Oct 12, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wenzetu wanapo sherekea miaka 50 ya uhuru wao kisiasa,
  sio vibaya nasi tukisherehekea miaka 50 kwa kutengeneza playlist
  ya nyimbo bora zilizo vuma ndani ya miaka hii 50.

  List yangu ni:-
  1.Rangi ya chungwa............Serengeti band
  2.Barua....................Les wanyika
  3.Amigo..................Les wanyika
  4.Ndoa ndoana..........Ottu jazz
  5.Malingo kwetu kawaida.............Mbalaka Mushehe
  6.Nalala kwa taabu......................DDC
  7.Ishara ya Mapenzi................MK Group
  8.Kabibi......................John ngereza
  9.Kuoana ni jambo la sifa.............
  10.Kadilika simba...................
  11.Mapenzi kizungu zungu.............
  12.Penzi mashaka.............
  13.Bibi wa mwenzio ................Remmy Ongala
  14.Penzi ulaghai.....................Washirika Stars
  15.Homa imenizidi......................Jacob Usungu
  16.Ngumi mkononi.............Jambo stars
  17.Jojina..................Serengeti band
  18.Fanta....................Papii kocha
  19.Seya.........................Papii kocha & Nguza
  20.Baba Paroko..................Makasi Junior
  21.Mapenzi ya simu.............Samba mapangala
  22.Stella.......................
  23.Julie .............Bob Ludala
  24.Karubandika ..............James Dandu.
  25.....

  Endelezeni,....ila bongo flavor zinaboa na hazina ujumbe wowote.
   
 2. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Mpenzi Luta....
  Solemba... Nico Zengekala
  Tufurahi kila Jumamosi.... Sikinde
  Nasema Sina Ndugu...
  Msafiri....
  Usimchezee Chatu...
  Neema - Chidumule... (Usipate taaaaabu uuu Neema uliyoyafanya sio mageni hapa Duniani eeeh! ikiwa ni Mapenzi eeeh Wapo waliopendana kama watoto mapacha eeeh eeh Kumbi kumbi oooh Wanapenda sana hata wakati wa kutembea utawaona A.D mbele Mlaleo Nyuma)

  Kyembe.. Usipate tabu kyembe hakuna maneno mamaa aaah aaaah aaah hha uuuugh uugh uuuhhhh

  Zuwena - Marijan Rajab (Zuwena mwingine sawa na yeye Mtoto aliyeumbika mwenye macho ya kupendeza Zuwena Zuwena kweli nampenda)

  Marashi Ya Pemba....(Nasikia ni Kuzuri Jioni kuna upepo eti unanukia aah marashi ya karafuu nipae angani nikatishe anga)

  Mwanza Nitarudi mwanza
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  TUNAREKEBISHA KWANZA ;
  1. rangi ya chungwa - nyanyembe jazz wala si serengeti hao ni wezi
  5.maringo kwetu kawaida(uzuri wa tausi) oss -dingituka molay
  8.kabibi (sam mangwana)si wa john ngereza
  9. kuoana ni jambo la sifa ( harusi) patrik balisidya na afro sabini band
  10. kadili kansimba( tancut alimas) na kyanga songa
  15.homa imenizidia( oss-rehani) rehani bitchuka
  17.jojina (safari trippers) umetungwa na uvuruge
  21.mapenzi ya simu( moro jazz band-super volcano) na mbaraka mwinshehe
  24. karubandika ( marquis du zaire) umetungwa na kasaloo kyanga ambaye ni amefariki wiki mbili zimepita akiitwa suleimani kyanga songa.
  26. mwana mpotevu-marijani rajabu na dar international(fikiri kwanza ulikotoka usijifanye huna baba wala mama waliokulea kwa tabu nyingi....)
  27. kipipa ayubu- rehani bitchuka na orchestra safari sound( nakushauli kipipa ayubu eeh ....)
  28. zomboko amba- orchestra safari sound( umekuwa mtu wa makamo zomboko amba na mambo ya stare hukuyaanza leo.....)
  29.tofiki- nation panasonic sound( tofikimkaka bado ninakupenda lakini hatuaminiani........)
  30. nalala kwa tabu- ddc mlimani park orchestra( nalalaa kwa tabu mie walisema lisemwalo kama halipo laja ingekuwa ni ndoto hatamimi....)
  31.wivu sio dawa- arusha kurugenzi jazz(muwaache wake zenu waende kazini wivu sio dawa.....)
  32.hiba-ddc mlimani park orchestra( hiiiba imekuwaje mpenzi mbona umebadilika, ninapokuuliza utaki kusema na mimi......)
  33.masafa marefu-tancut alimas wana kinyekinye kisonzo( ninakwenda safari safari yenye safari ya kikazi ninajuaa .........)
  34.shemeji-biashara jazz band wana dundadunda( shemeji shemji hii wewe ni dada unamawazo ya busara ooh shemeji............)
  35.nachunga heshima- uda jazz band( tulizaliwa woote kijiji kimoja lkn ulishindwa kunioa kwa sababuu ulisema sina tabia nzuriii oooh.......)
  36.hamisa-orch matimila( hamisaa eeeh hamisaeeh nilitokea kumpenda hamisa wewe hamisiia. hamisa ni mtoto wa kigogo kila nikifikilia nikuhamishie dasalama lakini naogopa hamisa eeeh , kwa tunaishi nyumba za kupanga wenye majumba hutunyanyasa dasalama....)
  37.nyerere- dar international( nyerere baba mlezii ooh nyerere mwana mapinduzi ooh sifa zako zimeenea babaa ...)
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa uzi huu,hapo namba 17 jojina ni safari trippers/marijan (RIP)

  ngoja niongezee kidogo:
  1.vigelegele ndiyo furaha .....western jazz
  2. bembeleza mwana.......jamhuri jazz
  3.nimempenda msichana....mbaraka
  4. eeeeeee kidedea.......simba sports club
  5. ccm ccm ccm Yanga sports club
   
 5. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wachawi na wanaoponda bongo flava sio kwenu tuuuuu,hata kwetu wapooooo.......sam wa ukweli
  moyo wangu........diamond
  heshima kwa mwanamke......fm academia
  narudi kijijin...........best nassoro
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  38. Somesha mtoto shuleeee apate elimu eeee by Samba Mapangala, sijui nimeupatia jina.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,062
  Likes Received: 24,065
  Trophy Points: 280
  Nibeebe Nibembeleze.....Rose Mhando
  Waraka wa Hamani- Bahati Bukuku
  Kidogo kodogo Nikinyatanyata - Tabata Choir
  Watu na Wakushukuru - YCS Arusha
  Kila Mtu atauchukua Mzigo wake Mwenyewe
  Kwetu Pazuri - Christ Ambassadors
  Yawee Uhimidiwe- Anjela Chibalonza..........
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Jogoo la Shamba.....Mbaraka Mwinshehe
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  wimbo wa taifa......ni namba moja.

  wimbo wa kwanza kupingwa mara baada ya taifa kutangazwa, unapigwa karibu kila siku, hauchuji, tune yake inajulikana na wazee, vijana na watoto maneno yake hayazingatiwi na viongozi wa nchi ...........................

  Sababu ni nyingi tu.
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante sana kwa kuni sahihisha mkuu,...
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Safi sana,hapa nitapata play list ya maana coz
  hawa wana siasa wana nizingua na sherehe zao
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Thanks boss,
  hiyo namba tano ni wimbo wa mwaka gani au bongo flavor?
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mmmh,namba tatu na nne sawa.
  Hizo nyingine zitachosha baada ya miezi mi5 tu
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haha,nime furahi kuweka nyimbo ya kwaya
  yangu.
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  HIvi "Malaika" haikuanzia hapa? Nadhani mtungaji ni from TZ ila mwimbaji wa 1 ni Miram Makeba, then Boney M...
  Mine ndio hiyo, Malaika by Miriam Makeba...
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lakini huwezi kaa una usikiliza wimbo wa taifa.
  Ni mara chache sana hata kuuimba pia,..
  Nataka nyimbo ambazo unaweza kusikiza hata ukiwa uko
  kitandani na ukapata ujumbe husika na nyimbo ambazo hazijawahi kuchuja.

  Huwezi fungulia computer yako ukaacha wimbo wa taifa unaimba then
  uko na wageni mnapiga stori men
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Naomba Wimbo wa Sambe uliopigwa na Patric Balisidya Uwaendee Wapenda Ngono Wote Wausikilize na Waogope!

  Sasa yapata Miaka mitatu...
  Namtafuta rafiki yangu Sambe...

  Sambe eeh! Upo wapi Sambe.eeh..
  Sambe.. Upo Wapi Sambe..

  Nilikwenda kwa jirani zake Sambe...
  Nikawauliza nao wakanieleza ah...
  Sambe amelazwa Hospitali...
  Sambe anaumwa Ukimwi,....

  Niliondoka nikiwa na Mawazo,
  Nikafika Hospitali,
  nilipomuona rafiki Sambe sikutambua kama ni yeye,
  uugh Sambe pole sana Sambe eeh.

  Sambe amedhoofu anavidonda mwili mzima
  Sambe amekonda, anavidonda Mdomoni....
  iiiihh iiihhhii iihhh iiihh
  Sambe anaumwa Ukimwi

  Sambe Poel Sana Sambe
  Sambe Pole Sana Sambe

  Wake kwa Waume Tujihadhari na Ukimwi
  Tuepuke kushare nyembe pamoja na miswaki
  nk kibao dah huu wimbo niliupenda na sijui nitapata wapi ( Kanda )CD Yake
  Ujumbe wake upo Poa sana
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  uko fiti san kaka, hongera, utafikiri ulikuwepo enzi hizo
   
 19. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nami naongezea... Yahwe ee... Hakuna Mungu kama wewe.. Twonane bandarin... Ooh lulu
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  1.Tupa tupa
  2. Solemba
  3. Naomba picha yake ooh sela mama
  4.Ugomvi wa baba na mama siwezi kuingilia kwa sababu ningali mtoto
  5. Kasimu amekuwa jambazi
  6. Wote ni abiria wangu eeh mimi nitaxi driver
  7. Zuena

  Si kuwa nazipenda saaana ila ndio ninazo kumbuka
   
Loading...