Despacito yavunja record ya dunia,yafikisha viewers bilioni nne.

Despacito yavunja record ya dunia,yafikisha viewers bilioni nne.

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
25,044
Reaction score
60,236
Kile kibao cha Despacito kilichoachiwa na Luis Fonsi,kimevuja record ya dunia kwa kuangaliwa na watu bilioni nne ndani ya miezi tisa,Diamond na wewe ufuate nyayo.Bilioni nne tena VEVO.
 
1. Views billion 4 haimaanishi kimeangaliwa na watu billion 4
2. Mtu mmoja anaweza kuangalia zaidi ya mara 100
3. Views billion 4 haimaanishi video ni nzuri
4. Kwa mfano mm niliwahi kuangalia juzi tu baada ya kusikia ikisemekana wimbo una views nyingi sana
5.Sijaona kitu kinachofanya huo wimbo uwe na views mingi hivyo nadhani kuna some illicit mechanism
 
Back
Top Bottom