Kama Wewe Ni Mpenzi Na Mdau Wa Korean Drama Basi Kuna Huu Mzigo Umetoka Feb Mwaka Huu.
Drama Inazungumzia Maisha Ya Captain Wa Jeshi La South Korea Alie'Fall-In-Love Na Doctor, Wote Wawili Badae...
Mimi sio mpenzi sana wa singeli lakini kuna nyimbo za singeli nazipenda sana mfano ni hii ya babu na dogo nigga-uzee mwisho chalinze
Kuna nyingine dulla makabila-mpenzi wako namba ngapi moja
Na...
Habari zenu wakuu kwa wale wapenzi wa mziki wa Kitanzania tunajua kuna wasanii waliwahi kuvuma na kupotea kusipojulikana ambao umewamiss na unahisi pengo lao halitawahi kuzibika unless otherwise...
Hizi series zinakuwaga nzur hasa pale mmarekani anapopambana na middle east countries mfano Syria and Yemen.
24 legacy
The brave
Homeland
Hebu nitajie nyingine ambazo ni Kali.
Jina la Mtunzi: Emmanuel Venance Hatari
Jina la Simulizi: Ni Yeye Pekee.
Sehemu ya: 1.
WhatsApp: +255768753437.
“Kila siku huwa na bahati yake” ni maneno aliyojisemea kijana Paul Gabriel...
Chiku nilimkubali kuanzia nikiwa naye Chuo cha Uandishi wa Habari cha Royal(RCJ)-DSM tukisoma ka CHETI ka Uandishi Kahabari mwaka 2003. Niliposikia kaingia kwenye gemu la Mziki nilifurahi sana...
KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU; NAWAKUMBUSHA WATUMIAJI WENZANGU.
Kanuni za kunywa mvinyo kistaarabu
"Mvinyo ni kama maisha kwa watu, ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila mvinyo? umeumbwa ili...
Katika Muziki Wa Hip Hop Kuna nyimbo nyingi nzuri za Msanii mmoja mmoja, za kushirikiana na hata za makundi...
Zifuatazo Ni nyimbo Tano Bora Kwangu za Kushirikiana.
5.We Ndo Mchizi Wangu Remix -...
Naam wapenzi wa movie za karate kwa miaka hyo ya nyuma ulikua ukitaja list ya majambazi yenye roho mbaya kwenye movie za karate bas huwezi acha mtaja bolo yeung au bolo yanki kama wengi...
Hasa hasa hiphop tanzania wapo vijana underground doing Great things an using their mind to create A unique sound
KAWASIKILIZENI HAWA
kutoka soundcloud
Brian simba
George gavin
Mext cortez
Mjb...
Hello wadau, kuna watu walikuwa wanautafuta sana wimbo wa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NO 1, nimebahatika kuupata ni huu apa, Usisahau kusubscribe hannel yetu kwa Nyimbo adimu.
KOMBORA KIOTANI-31
BONIFACE BIRAGE
Wengi walikuwa na shauku ya jinsi kipindi kingeenda kwa siku ile na jinsi kingepokewa na umma.Kulikuwa na stori kubwa iliyongoja kuruka...
Mods hongereni kwa kazi kubwa mnayoifanya humu JF. Napendekeza liwepo jukwaa au kipengele cha hadithi na story kama zile za kikosi cha kisasi, Njama, Ntakupata tu, na zingine. Mimi ni mpenzi mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.