Free internet Forever

Free internet Forever

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
203
Habar wana jukwaa
leo ninahitaj kwa yule mwenye ufaham juu ya masuala ya kucheat kwenye line ili uweze kutumia internet bila kulipia popote atuwekee hiyo taaluma.
 
Habar wana jukwaa
leo ninahitaj kwa yule mwenye ufaham juu ya masuala ya kucheat kwenye line ili uweze kutumia internet bila kulipia popote atuwekee hiyo taaluma.
Ili ikusaidie nini?
Tanzania gharama za data kwenye mitandao ya simu ni rahisi sawa na bure tu. fikiria kuiba vitu vyenye manufaa
 
Back
Top Bottom