Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
Deogratius Kisandu a.k.a Masqo tunaomba msaada wako hapa
Mimi sio producer ila naimba beat sio mbaya mkuu . ni sign basi kwenye production yako mkuu?hi guys hapa JF?
Jamani kwa wale producers please naomba critical analysis ya sample ya beat naomba msaaada nini niongezee nini nipunguze
my regards
Beat iko poa tu, ndio mfumo mpya umeibuka wa vinanda bila kick, pitia wimbo mpya wa Rama D na wimbo mpya wa mtoto wa King Mswati aitwaye Sikhanyiso uone tofauti yake wimbo unaitwa Your hail majesty.
uko wapi manMimi sio producer ila naimba beat sio mbaya mkuu . ni sign basi kwenye production yako mkuu?
asante saaaaaaaaaaaaana kakaBeat iko poa tu, ndio mfumo mpya umeibuka wa vinanda bila kick, pitia wimbo mpya wa Rama D na wimbo mpya wa mtoto wa King Mswati aitwaye Sikhanyiso uone tofauti yake wimbo unaitwa Your hail majesty.
Nipo Dar...uko wapi man
unaweza kuomba kwenye hiyo beat manNipo Dar...
Kabisa, upo wapi wewe! Acha nije pm tuyajenge.unaweza kuomba kwenye hiyo beat man
SAMPLE NYINGINE HIZO HAPO MANunaweza kuomba kwenye hiyo beat man
nachoweza kukuambia hizi beats sio mbaya unajitahidi maana kutengeneza sio rahisirahisi tu.ANOTHER SAMPLES
okay hizo na kwa mtu anayerap especially USAnachoweza kukuambia hizi beats sio mbaya unajitahidi maana kutengeneza sio rahisirahisi tu.
Ila kwa mziki wa Bongo hizi hapana.
RIGHT NOW NIPO CANADA TORONTOokay hizo na kwa mtu anayerap especially USA