Nakumbuka ilikuwa tarehe tatu march 1998,nikiwa mwanafunzi shule ya sekondari mwembetogwa pale iringa.baada ya masomo nilipata likizo fupi.nikawaomba wazazi niende kwa babu yangu aliyekuwa akiishi...
Baada ya kuanglia vipande kadhaa vya show ya mwanamuziki wetu diamond platnumz, chibu dangote...Nikaona kwamba wengi wao waliohudhuria ni kutoka afrika mashariki hao wengine ni kidogo sana...
Kwa ile amri ya mkuu wa nchi kuhusu mavazi ya heshima kwa wacheza muziki mimi natabiri muziki wa bongo utashuka thamani yaani mashabiki wa kuangalia video zake watapungua.
Maana hakuna cha maana...
Wadau hili ni swali...
Nimeona video nyingi na hii hapa chini ni mojawapo, Hivi inawezekana kweli jicho moja kuzunguka bila mwenzake kufuata??? Au kiunakua na photoshop tunadanganywa???
Mim si mpenzi wa Nigerian Movies na hata kwa bahat mbaya huwez kunikuta naziangalia hizi movie
Ila kuna Movie moja inaitwa 76 Imecatch my attaention kwanza kwa wahusika wa hyo Movie pia theme yake...
Habari JF.
Leo naomba kujuzwa hili jambo kuhusu nyimbo za msanii Diamond Platinum kutokupigwa katika vituo hivi vya EA Radio na TV (Channel 5)
Nauliza haya baada ya kufuatilia kwa muda...
Wadau naamini wengi mnafamu tattoo ni kitu gani...watu wengi huchora tattoo kwa sababu zao tofauti kama vile fashion tu au kuficha alama ama makovu ya vidonda...Lakini kwa leo nimewaletea list ya...
Natarajia kusafiri next week niltarajia ningesafiri na na private car lakini haitawezekana maana gari imepata matatizo kidogo, ivyo basi kama kuna mtu anayetaka kusafiri kutoka Dar kwenda bkb na...
WASAALAM………..
Wakuu najua sasa hivi jukwaa lipo bize kujadili mara hallelujah, mara vevo mara youtube mara zamaradi mara ruge mara nini sijui…lakini nakuombeni mpite hapa pia ili kama kuna...
SEHEMU YA 01:
Eddy ameamua kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kwenda kupanga, kwa bahati nzuri anapata chumba katika nyumba moja yenye vyumba sita maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa.
Nyumba hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.