Malipo ya star times

Malipo ya star times

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,849
Reaction score
2,440
Ndugu wana JF,naomba kufahamu kuhusu malipo ya star times,kwani nasikia waweza lipia kwanzia 500 na kuendelea vipi hili lina ukweli ndani yake?,kwani kwa sasa si kukuza kwa vyuna tu hata pesa zimeota mbawa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nazan nimeeleweka nipo ndan ya ic sor kwa kwenda fyongo kimaandishi.
 
Inategemea package....kwa mambo- tsh 4000 ni wiki, 12,000 mwezi,
1000 ni saa24
 
Ndugu wana JF,naomba kufaham kuhusu malipo ya star times,kwani nackia waweza lipia kwanzia 500 na kuendelea vipi hili lina ukweli ndani yake?,kwani kwa sasa si kukuza kwa vyuna tu hata pesa zimeota mbawa.
Ni buku c jero[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom