Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naanza fasta bila kukuchosha Toka ananza kuimba kuna muda nikahis anaimba utani utani tu manake nyimbo kadhaa ni kama za watoto za kuchekeshana mfano hiyo zezeta Awaaaaaaaaaaaaap kwangu sijaona...
3 Reactions
24 Replies
10K Views
Mimi ni mpenzi wa comic movies specially zinazotengenezwa na hawa jamaa wa Marvel studios so nitajaribu waletea all release dates za comic heroes movies toka kwa hawa jamaa. Kwa kuanza naanza na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hi guys hapa JF? Jamani kwa wale producers please naomba critical analysis ya sample ya beat naomba msaaada nini niongezee nini nipunguze my regards
2 Reactions
14 Replies
46K Views
Habar wana jukwaa leo ninahitaj kwa yule mwenye ufaham juu ya masuala ya kucheat kwenye line ili uweze kutumia internet bila kulipia popote atuwekee hiyo taaluma.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarii wakuu i real appreciate the analysis coming from you guys especially very experienced producers hizi samples niupande wa verses bado sijaongeza intro,outro ,chorus and hook or bridge...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Wana jamvi habari za sikukuu, nimekosa mdaa WA kwenda movie kuangalia movie ya jumanji.. Naomba aliekua nayo anitumie link ya kudowload... Or watch online... Asanteni week end njema
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana ndugu rayvanny leo ametuletea wimbo wake Mpya ambao ndani yake yupo Hussein Jumbe wimbo ni huu hapa chini ni audio pamoja na video ili kuupata wimbo huu Utabonyeza Download hapa...
0 Reactions
1 Replies
51K Views
Video Mpya ya Kwake ENOCK BELLA , Wimbo Unaitwa "NITAZOEA " DOWNLOAD HAPA http://www.mtikiso.com/2017/12/video-music-enock-bella-nitazoea.html BURUDANI ZOTE UTAZIPATA KWENYE BLOG YETU PENDWA...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Abstract Zidhani kama kuna pingamizi kwamba wasanii wa sasa wanamafanikio kuzidi mda wowote. Lakini mafanikio haya, yamepitia mgongoni wa mashabiki zao, wengi abao ni watu weusi, tena wa maisha ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hizi dedication zingine ni ngumu sana kuzielewa kwa haraka, Nimerudi usiku home nimemkuta shemeji enu anajiandaa kulala basi huku na huku akaamua kuweka wimbo wa Kibamia wa Rostam, kilichontisha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
sarakasi ubinuliwe harakati zirudiwe/ hapa unawekwa kati hata uwe Araphat ngumi jiwe/ Nachinja bila mundu wala kisu/ nadinda mbele ya makinda wananiita Tundu Lissu Alazwe pema ghadafi/ wema...
5 Reactions
56 Replies
29K Views
Habari wapendwa nahitaji kujua kama Papii Kocha katoa wimbo huu alipotoka Jela au kabla hajaingia?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
SEVEN DAY IN HELL-1 """"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""'"""" - Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Albam yangu ya Injili kwa asilimia kubwa imefanywa na Prodyuza Doncher wa jijini Mwanza na kiasi kidogo imefanywa na Prodyuza D.Class wa jijini Mwanza na baadhi ya nyimbo nimeingiza voko na mixing...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
11 Replies
856 Views
With only a handful of potential must see movies left this year (Rogue One, Bleed For This), I'm already looking towards 2017. For what it's worth, this is my top ten - klingelton kostenlos 10)...
2 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari wana jukwaa. Niseme tu wazi kuwa kama kuna msanii kijana mdogo anayebifanya nisikilize upya huu mziki wa kizazi kipya basi ni huyu dogo Aslay binafsi nama hongera Tangu ametoa ile naenda...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
KOMBORA KIOTANI-32 BONIFACE BIRAGE Kilua alikuwa akilipapasa tumbo lake huku akijiangalia kwenye kioo.Tayari alikuwa ametuma watu wamlete Serambovu ofisini kwake muda mfupi...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Habari wanajamvi,naomba mwenye folder la latest audio music ya club anisaidie,Leo Nina function nyumbani nataka wageni wangu wakishalewa wacheze mziki kama wapo club. Msaada wenu tafadhali.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom