nipeni wasaanii japo watano wakali wa hiphop tz. kwa wadau 2 mi cmjui ney wa mitego
Songa,chindo na sugu wamekosekana hapo.labda top ten ingesuitAiseee hivi nyie akina michepuko Deo Corleone na Alola ni hip hop gani mnaizungumzia ??
1) fid q
2) Nikki Mbishi
3) Stereo & one incredible
5) jay moe
Hao ndio top
Hutaki unaacha wamesimama nguzo za hip hop ukitaka kubisha uwe na vigezo
Fid q anastahili hapoHiphop ilikuwa zama za kina Hasheem Dogo siku hizi wafanayabiashara tu.
1.Hasheem Dogo.
2.Songa.
3.Sharp Shooters
4.Stereo.
5.One Incredible.
malizia na watengwa hapo JCB CHINDO na wenzao woteAiseee hivi nyie akina michepuko Deo Corleone na Alola ni hip hop gani mnaizungumzia ??
1) fid q
2) Nikki Mbishi
3) Stereo & one incredible
5) jay moe
Hao ndio top
Hutaki unaacha wamesimama nguzo za hip hop ukitaka kubisha uwe na vigezo
Nimegundua Joh Makini mnamchukulia poa sana.
Nimegundua Joh Makini mnamchukulia poa sana.