Clouds Media Group CMG

Clouds Media Group CMG

PetterIsuti

Senior Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
118
Reaction score
28
Najua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho kuhusu Clouds sio mbaya ukakiandika hapa.
Kumbuka hii Redio ilianzishwa December 2 Mwaka 1999 hvyo huu ni mwaka wa 20 tangu kuwepo kwa redio hii hapa Tanzania na imekuwa chachu kubwa sana kwa uwazishwaji wa redio nyingi hapa Nchini na pia bila kusahau hii Redio (media) imekuwa msitari wa mbele sana katka kuinua vipaji vingi sana vya wasanii hapa Nchini.

Mfano mzuri ni msanii kama Diamond amekulia na kulelewa ndani ya Clouds, Clouds ni baba wa burudani hapa nchini kupitia tamasha lao la Fiesta.
Heko kubwa sana kwa Clouds Media Group CMG.

Karibuni Wana jamvi na wadau wa Media hii tuzungumze hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAONA SOUDY BROWN UMEKUJA KUTAFUTA WAJINGA WENZAKO HAPA, NAKUHAKIKISHIA HUU UZI UTAEXPIRE NDANI YA MASAA MACHACHE MAANA CLOUDS IMEPOTEZA FANBASE KUBWA SANA KWA KUBAGUA WASANII

WAJINGA WACHACHE SANA NDIO UTAWAPATA HAPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish you quick recover Ruge Mutahaba
Hamna binadam mkamilifu ila bila ww industry hii inazubaa mno....no ubunifu...no ushindan....wamezubaaa
Naliona gap lako
Get well soon

Tuhuma ya kwamba "REDIO IMEJAA MASHOGA,WATANGAZAJI WANALIWA KAMA MBOGA" unaiongelea vipi?
 
Wewe ni nani ndani ya CMG? Ni vzr tungejua ili tujue lipi tukuulize na lipi tusikuulize.
 
NAONA SOUDY BROWN UMEKUJA KUTAFUTA WAJINGA WENZAKO HAPA, NAKUHAKIKISHIA HUU UZI UTAEXPIRE NDANI YA MASAA MACHACHE MAANA CLOUDS IMEPOTEZA FANBASE KUBWA SANA KWA KUBAGUA WASANII

WAJINGA WACHACHE SANA NDIO UTAWAPATA HAPA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaipa kazi isiyofaa akili yako muda wote kuwaza nigative, ipe akili yako kuwaza postive before.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni nani ndani ya CMG? Ni vzr tungejua ili tujue lipi tukuulize na lipi tusikuulize.
Sio kwamba mpaka ujue mimi ni nani ndo maana nimesema huku ndank kuna wadau wakubwa sana wa Clouds na watu wa siku nyingi wanaijua Clouds b4 cha msingi hapa ni kuzumgumza mema na mabaya ili penye panafaa kujirekebishe tukosoe nia Redio iende mbele miaka mingine 20 ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish you quick recover Ruge Mutahaba
Hamna binadam mkamilifu ila bila ww industry hii inazubaa mno....no ubunifu...no ushindan....wamezubaaa
Naliona gap lako
Get well soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa ndo maana hata Majizzo alisema game haina ushindani kwa kumukosa Ruge.
Ruge ni hazina ndani ya taifa hili kwa suala la Burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pb,xxl & sports extra.

Vipindi bora sana kwangu.

Jahanzi hiki kipindi kinalenga watu gani mkuu?
 
Back
Top Bottom