Embu tumkumbuke Kali P wa "Imekaa Vibaya" kidogo. Sijui yuko wapi huyu jamaa?


M

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
1,887
Likes
1,480
Points
280
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
1,887 1,480 280
Ktaaaaaambo duuuuh
 
angedizzle

angedizzle

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Messages
569
Likes
295
Points
80
angedizzle

angedizzle

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2011
569 295 80
Yupo Kitunda
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,485
Likes
4,238
Points
280
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,485 4,238 280
Duh miss vibaya jamaa huyu
 
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
1,389
Likes
2,222
Points
280
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
1,389 2,222 280
Wale wafungwa wengine wakawa wanashangiria.mwal mwal mwal
 
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
5,046
Likes
3,827
Points
280
Age
28
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
5,046 3,827 280
Hawa jamaa wa mwanzo mwanzo wa bongo fleva hawakunufaika kabisa kwa kazi ngumu waliyofanya ya kuibadilisha na kuishawishi jamii kuwaelewa ktk aina yao ya muziki wa kizazi kipya matokeo yake wanafaidi madogo wanaoimba mapenzi tu.
 
niachiemimi

niachiemimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
1,967
Likes
1,464
Points
280
Age
35
niachiemimi

niachiemimi

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
1,967 1,464 280
nilikua na afande mwenzangu tukakutana mchina.
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
7,843
Likes
9,329
Points
280
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
7,843 9,329 280
Hawa jamaa wa mwanzo mwanzo wa bongo fleva hawakunufaika kabisa kwa kazi ngumu waliyofanya ya kuibadilisha na kuishawishi jamii kuwaelewa ktk aina yao ya muziki wa kizazi kipya matokeo yake wanafaidi madogo wanaoimba mapenzi tu.

Kweli kabisa. Hawa walikuwa na kazi kubwa ya kuishawishi Jamii kuwa muziki wanaofanya sio uhuni.
 
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
5,046
Likes
3,827
Points
280
Age
28
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
5,046 3,827 280
Kweli kabisa. Hawa walikuwa na kazi kubwa ya kuishawishi Jamii kuwa muziki wanaofanya sio uhuni.
Wamebaki masikini na wanadharaulika na madogo walioibuka baada ya kazi ngumu iliyofanywa na wakongwe hao.
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
13,132
Likes
18,934
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
13,132 18,934 280
Nakumbuka tukiwa vitoto tulipenda chorus yake " imekaa vibaya hii bado haijatulia" sijui yuko wapi huyu mkaka nowdays?!
 
Real One

Real One

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Messages
1,902
Likes
866
Points
280
Real One

Real One

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2014
1,902 866 280
Amenikumbusha tena wale jamaa waliokufa kwa kuwekwa kwenye kaselo kadogo.....polisi bhana
 

Forum statistics

Threads 1,237,413
Members 475,533
Posts 29,287,775