Mh Doto Biseko Waziri wa madini aapishwa na wenzake.

godson Lomayani

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
538
711
Tukio la Mawaziri kuapishwa,nimekuta limeisha ila nimekuta ndo Mh.Rais anapiga nao picha,lakini katika niliowaona nimemuona Mzee wa siku nyingi sana aliyewahi kushika nyadhifa mbali mbali katika awamu zilizopita Mh Daniel Ole Njoolay safari hii sijui kala shavu gani.Mwenye taarifa tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom