Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
Japokuwa hiphop nimeanz kuifuatilia miaka si mingi sana ila nimekuja kuona kuna tofauti kubwa sana kati ya wasanii wetu wa sasa wanaojiita wanahiphop na wakongwe wenyewe wa utamaduni huu wa hiphop
Mziki walokuwa wanafanya hawa jamaa toka kundi la watengwa ni noma sana ukianz na mtu mzima wa ukisikia paah Jacob Makala pembeni mzee wa kitengi Chindo Man
Natamani sana ningekuwepo zama hizo hiphop imeenea imetamba, hiohop ya kufuata misingi na inayoelimisha na mziki usiotegemea kiki natamani sana zama hizo
Mtu mzima Chindo man nilibahatika kufaidi kipaji chake kwenye mdundo wa torati ya mtaa na ilikuwa ni torati kweli akiwemo mtu mzima fareed
Hiphop ya siku hizi utasikia msanii anaebamba et ndo anaimba mwajuma chautundu sijui wengine ndo kushndia kuimba wowowo dah had shida yan
Sanaa ya watengwa ni noma sana and they deserve kuitwa legends
wakuu eb tushushe nyimbo za watengwa apo tujikumbushie pia wengine tupate kuzijua