henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,119
Atcl kama hawatakua na ndege ya kumtoa mtalii serengeti moja kwa moja kumpeleka zanzibar ni kazi bure.
Tunaomba mwaka huu CAG alete report ya ukaguzi ATCL na TANROADS
Aiseeee. Naona sasa unagusa vichaka vya Jiwe kujipigia hela.Atcl kama hawatakua na ndege ya kumtoa mtalii serengeti moja kwa moja kumpeleka zanzibar ni kazi bure.
Tunaomba mwaka huu CAG alete report ya ukaguzi ATCL na TANROADS
Aisee hiyo ruti tumewaachia UFIPA AIRWAYS ...Atcl kama hawatakua na ndege ya kumtoa mtalii serengeti moja kwa moja kumpeleka zanzibar ni kazi bure.
Tunaomba mwaka huu CAG alete report ya ukaguzi ATCL na TANROADS