Jingle bells, jingle bells, By Boney M Jingle all the way; Oh! what fun it is to ride, In a one-horse open sleigh… Tell me who can spend his Christmas Day without singing this best-known Merry...
Kwa ambaye alifuatilia hiki kipindi pendwa cha vijana Siku ya Jana J'mosi kinachorushwa EA Radio na Mnyama Jr Junior..
Naomba kuniwekea hapa Nyimbo 5 za juu kwa siku ya Jana..
Nitafurahi sana
Ey..
Jamani huu wimbo unanikosha.... Alafu haka katoto kanatoaga nyimbo tamu sana sana sijui km kuna wimbo hauchezeki huu wimbo unachezeka ila sina mashairi yake..mwenye kuweza kuniwekea mashairi...
Kwa hii KIKI ambayo Basata wanampa Diamond na Basata ya kenya inaonekana kama inampa Authorization ya yeye kupiga shows.Mashabiki wa muziki wa kenya wanachukulia kama Vita ya Mkizi furaha kwa...
That peaceful evening drinking beer with friends at a beautiful pub or bar, this song is played at the background. you know how it feels.:cool::cool:
Madilu Sytem
Mamajusi Choir ni choir maarufu iliyopo Moshi mkoa wa Kilimanjaro inayopatikana katika kanisa la Anglikani, Week iliyopita alifariki mzee mmoja aliyekua moja kati ya wanakwaya ambye alikua ni mzee...
Wakuu naulizia hii kwaya iliyotikisa sana katika anga la muziki wa injili bongo wako wapi na mipango yao ya uinjilishaji kupitia mziki imeisha au ndio wengi wao wamezeeka na wamestaafu mziki wa...
Imethibitika kuwa nkana leo kuanza mpira kwa staili ya kuutoa nje. Kama yanga walivyoanza wakati wanacheza na simba. Wanasimba tutegemee nini kama hawa jamaa wakianza kwa staili hii. Je yanga...
1. Ooh baby mwenzako mi nawashwa pabaya.....(Nimesahau jina la msanii)
2. Kindinda kikidinda nakitia mimba.....(Joh Makini)
Ongezea nyingine hapo
Cc: BASATA
Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.
Diamond kijana wetu inabidi ujifunze...