Maeneo gani DSM wanapiga nyimbo za kijaluo

Maeneo gani DSM wanapiga nyimbo za kijaluo

Njoo huku kivule kwa mpemba hapa,kuna bar inaitwa Musoma bar,inapiga sana nyimbo hizo na ritungu.
 
Njoo huku kivule kwa mpemba hapa,kuna bar inaitwa Musoma bar,inapiga sana nyimbo hizo na ritungu.
ritungu ni ngoma ya kikurya,jamaa anataka nyimbo za kijaluo kama daniel owino misiani,au za aquino chogo,au nyasembo ya odongo swagg,nyasembo ohhhhhhhh,nyasembo aaahhhh
 
ritungu ni ngoma ya kikurya,jamaa anataka nyimbo za kijaluo kama daniel owino misiani,au za aquino chogo,au nyasembo ya odongo swagg,nyasembo ohhhhhhhh,nyasembo aaahhhh
Una nikumbusha mbali saana. Open Disco na wapenzi wangu Eva Awour na Magat Othim. Acha kabisa watoto wa Kijaluo hao niliwapenda sana.
 
Nenda Tabata, Kuna kiwanja kinaitwa Next Door karibu na Sanene. Hapo sio tu kupiga nyimbo za kijaluo, pale utakutana na kundi kubwa la wajaluo. Nyakati kama hizi wanapanga safu ya wabunge na madiwani wote wa huko Mara/Serengeti.

Ndio kiwanja chao kikubwa hapo Next Door.
 
Zile za Ema jalamo,Musa jakadalla,prince indah etc
 
Back
Top Bottom