Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,588
Points
2,000

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,588 2,000
Hawa jamaa wametuzidi kila kitu. Mziki wao upo kimataifa na unaheshimika, vilabu vya mpira tp mazembe, AS Vita tena jana kaingia fainali kuna DC motema pembe, wanaocheza ulaya WaPo kibao. Nikiwa mdogo km miaka 7 mpaka kumi almost 36 yrs ago kuna kibao kinaitwa kamiki aisee tulikuwa na kanda yake ya njano halafu imeandikwa kwa herufi kubwa BASF nilikuwa nakizimia sana hicho kibao. Vibaya mnoo lkn kipo Youtube. Nyimbo za Lwambo, peuch del sol, nzaya nzayadio Na seki zengi kavasha hiyooo!
 

Forum statistics

Threads 1,388,946
Members 527,840
Posts 34,014,936
Top