de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,808
- 21,424
Wengi wetu humu ni millenials na katika ikuaji wetu hasa sie tulipotoka middle class families tumekuwa na tukiangalia hizi drama kama isidingo na the promise
Hizi ndo drama ambazo nilikuwa nazifwatilia enzi za udogo wangu.. Ingawa kuna nyingi tu before hapo ila huenda sikutilia maanani sana. Isidingo sikuikubali sana Maana haikuwa na romance.
Ila the promise Wacha kabisa...
Japo by that time Kiingereza ilikuwa changamoto sana, ila ile bond ya hawa viumbe ilikuwa ina transcend limitation ya lugha.. Nilijikuta na kuwa attached na hawa characters vibaya mno.
Angelo na Inna, utasikia una mwita kila msichana Inna, na yeye una mwambia akuite Angelo. Wadau sijui naipateje tena hii series nimeisaka lakini sijafanikiwa. Kama kuna mtu anajua chimbo online hasa iliyo tafsiriwa Kiingereza anijuze.
Ilianza kuachwa rasmi 2000 mpka 2002 ila ikaja kutrend bongo miaka ya mbele kidogo.
Walikuja kotoa version nyingine 2015
ila japo ilikuwa na moto na niliifatilia kwa muda Machache, ila ya kwanza(2002) ilikua noma na mimi nacho kumbuka ni chemistry tu ya hawa wafilipino.
Mwenye kujua napata wapi anijuze... Am trying to make my younger self proud again.
Also naskia sijui mmoja alifariki ila naskia tu sijawahi kufwatilia... Ni kweli? What about their current life.. Ngoja nichimbe zaidi Nitakuwa naweka updates.
Je kuna mtu anaikumbuka? How was it like? Msisite kuweka kumbukumbu zenu wakuu moments brings memories. Mimi mpenzi wangu humuita Inna na hana budi kukubali tu