LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,696
Huyu Dada namuelewa sana. Ni bonge la comedian .Ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha .
Mimi ni moja kati ya watu ambao nilikuwaga siamini kama mwanamke anaweza kuwa funny.
Nasra Yusufu ana kuwa mwanamke wa pili duniani kuprove wrong my theory wa kwanza akiwa Anne Kansiime.
Mcheki You tube uongeze siku za kuishi.
She is also a good philosopher .
One of her best quotes include but not limited to the following.
1. Wakenya original mnatakiwa muwe mnajiuliza kwanini wakenya wenye asili ya Somalia ( wasomali ) tuna hela sana. Kwa sababu hata sisi huwa tunajiuliza kwanini nyinyi hamna hela .
2. Wanawake tu napenda sana wanaume wanao jua kupika ila tatizo ni pale unapokutana na mwanaume anajua kupika lakini mvivu wa kula. Yani unakuta mwanaume anapika kwa muda wa Masaa mawili lakini anakula dakika mbili tu ameshiba halafu analala.
My Almighty Allah keep on showering her blessings to this beautiful and talented woman