Unamkubali nani kati ya hawa?

Unamkubali nani kati ya hawa?

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,360
Reaction score
2,356
57c7f80eedd7bf3741c1ddee3a8befc3.jpg

Mimi namba 5 Jason stratum

bwayhermitTz
 
hahahahaha. umewahi kuona movie yake kama
1. the bodguard
2. younger muster
3.enforcer
4.etc?
 
Jet Li anazingua. Yaani movie zake "Yeye ni kupiga tu wenzake, hataki kupigwa..!"

Mimi napenda movie ambayo "kubwa la maadui" nalo liko vyema.
Movie za Jet Lii ni nzuri, Jason Statham naye yuko poa, huyo jamaa aliyeko namba 2 naye mkali sana
 
Mbona Sylvester Stallone Sly hayupo??

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Ninaowakubali hawapo kama Jackie chan na donie yen hao uliowaweka wazee wa bunduki lakini ukisema kipigo serious Ni donie yen na mtu anayetumia akili nyingi kutengeneza movie mpaka ufurahi Ni Jackie chan.huyu Jason na yeye hata hapigwi anaweza akawa amelala usingizini na akatoa kichapo kwa adui na Kipara chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
57c7f80eedd7bf3741c1ddee3a8befc3.jpg

Mimi namba 5 Jason stratum

bwayhermitTz
Hao wengine maboya tu.... Kama wewe ni mfatiliaji wa movies, zenye ujuzi za kukabiliana na uhalifu... Kama mabenk.. International terrorist... Basi utajua no 8 ni the best one ever... Nadhani currently anawazidi wengi wa Marekani. Fatilia moja ya movies zake.
Olympus was fallen, the den of thief, na ile ya anakabiliana na Russian terrorist..
 
Back
Top Bottom