Hahahaha bado sana .....ruge ameacha watu verybright clouds bado nguvu ya joo kusaga wako vizuri vipindi creative ness yao iko sharp ninauwezo wakusikiliza clouds siku nzima nisiwebored ila izo nyingine siwezi ...ni mtazamo wanguMaana jamaa wa mawingu ni kama pumzi inakata kila kona wasafi & muziki munene fm...mawingu wakubali enzi zao zinachikichia sasa
Aliacha majembe pale hata hao ma ceo wa efm na wcb wamepikwa na ruge kwahiyo na wao watafeli aualiyewaweka hapo kafa basi maajabu ya afrika na kile kituo kinakufa
Yale matangazo yao tu napitiwa na usingizi iyo siku nzima sijui taweza.. Yana boa sana yame zidiHahahaha bado sana .....ruge ameacha watu verybright clouds bado nguvu ya joo kusaga wako vizuri vipindi creative ness yao iko sharp ninauwezo wakusikiliza clouds siku nzima nisiwebored ila izo nyingine siwezi ...ni mtazamo wangu
Safi sana mkuu..Yaani kusema kweli Clouds kwangu ndo redio inayonibamba, naweza kuisikiliza kuanzia "power breakfast" mpaka michezo usiku.
Kipindi kimoja tu ndo huwa kinaniboa mimi Clouds kile cha yule mtangazaji anaitwa Diva huwa sipendi hata kusikia sauti yake tu..aagh! Baada ya Diva naendelea nayo tena.
Aidha, pia ninaaprishieiti walivyogawanya vipengele vidogo vidogo kwenye kipindi kimoja kikuu.
Mfano. Jahazi (mastori ya town part I, na II; michapo ya michezo, najua wajua, gumzo, etc)
Vipindi na watangazaji pendwa sana(narudia pendwa "sana") kwangu ni:
Wa Power Breakfast
Wa Jahazi
Wa Leo tena
Wa Amplifier
Aisee hunitoi hapa. Jamaa wanaueledi sana. Hata wanavyo-present matangazo ya biashara na kampeni mbalimbali za kitaifa au kitaasisi... yaani wanajiweka na kujipa uhusika kiasi kwamba unaweza kufikiri ni biashara zao ...safi sana.
Do you want a beer,
Yeesss.
😂😂 You literally took the words outta my mouth. Akikujibu ni-tagSafi sana mkuu..
Una maintain vipi kuskliza radio masaa yote hayo na majukumu yako ya kila siku?
Wasafi hata waonyeshw black and white bado nitawaweka juu ya mawinguu,[emoji23][emoji23][emoji23]Wasafi wana kipi Cha maana zaidi ya mziki..angalau Efm kidogo kwa baadhi ya vipindi unaweza ukacompare na mawingu fm
Binafsi niliachaga upenzi na mawingu fm ila tuseme tu ukweli mawingu bado wapo vizuri na kuwashindanisha na efm&wasafi ni ukosefu wa nidhamu