wale wadau wa nyimbo za singeli nisaidieni kwa hili

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Miezi miwili mitatu hii ya karibuni nlikuwa Dar, sasa katika pitapita zangu mitaani kuna wimbo flani wa singeli ulikuwa ukisikika karibia kila mahali.., Una beat flan zuri afu ndani yake kuna maneno flan lakin nakumbuka tu kuna mama inajirudia sana

Kwa anayeufahamu anaweza kuntajia jina unaitwaje?
Samahan kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom