Ufaulu Ni tabia he mnakubaliana na hilo??

Ufaulu Ni tabia he mnakubaliana na hilo??

Mchome Sevury

Member
Joined
Aug 14, 2019
Posts
6
Reaction score
3
Jana mechi ya Liverpool na Chelsea ya finali ya Super Cup. Chelsea alipiga mpira mzuri Sana hata baada ya kusawazisha goli la pili. Lakini kilichotokea mabigwa walishinda game.

Vivyo hivyo finali ya UEFA dhidi ya Totternham. Liverpool haikuonesha mchezo mzuri Kama ule wa nusu finali.

Tusubiri muendelezo wa ligi kuu..
_status_IMG-20190815-WA0007.jpeg
 
Back
Top Bottom