Radio One Mtaa wa Magoma take you way back

Radio One Mtaa wa Magoma take you way back

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,586
Reaction score
14,194
Wakuu kila jumamosi kuanzia saa 5 asbh hadi saa 7 mchana wanacheza olds za kufa mtu kwa sie vijana wa zamani

Kipindi kinanikumbusha mbali sana
 
Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa
 
Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa
Kipindi cha kama hiki kipo lini na muda gani kwa RFA mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom