MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,850
Wasalaaam ndugu zangu,
Samahani nataka kujua zaidi juu ya huyu msanii.
Ametokea na anaishi wapi?
Ana nyimbo ngapi na zipi?
Meneja wake ni nani?
Amenivutia sana na ana kipaji cha kipekee kabisa.
Nimesikiliza nyimbo zake chache nimeshangaa kabisa kwanini simsikii sana kwenye anga za burudani.
Naomba msaada wa majina ya nyimbo zake.
Natanguliza shukrani.