Nini maana ya Wimbo Yo Gotti - Down In the DM

Cletty Realest

New Member
Jun 28, 2019
3
3
Habari Wana JF wenzangu kuna swali linanitatiza hapa...

Nahitaji kujua maana ya "REACTION" za nyimbo ...

Yaani kwa mfano ‘Yo Gotti — Down In the DM’ nimekuwa nkiangalia hata hizo videos but sijaelewa kitu msaada plz..
 
Inamaana hukuelewa hata yule dem alivokua anapiga selfie ya papuchi?
 
Back
Top Bottom