Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Check these cars... Mazda KARZAMAI Halafu angalia hii Mazda Biante Mazda Hakaze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Game Loading... Welcome to PS... Wait... ______________________________ Wakuu sina maneno mengi ila kama wewe ni mdau wa hii kitu tukutane hapa. Binafsi naiwaza CALL of DUTY 'Modern' nasikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara yako ya kwanza Kuangalia video za utupu, ulifundishwa na nani?. Mimi safari yangu ya kuziangalia Nilikuwa na kijiwe naweka miziki kwenye Simu, Nilianza Kuziona kwenye Memory card za wateja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nimeleta thread hii tujuzane, kukumbushana na kusaidiana kupata nyimbo mbalimbali za kikongo(BOLINGO, NDOMBOLO, MAYENU SOUKOUS, ZOUK n.k.). Pia kupata habari za wasanii wa congo wapi walipo...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Na AnonymousAfrica Mziki mzuri upo bongo aisee. Wasanii wa Tanzania wameushika mziki kwa kila aina ya muondoko. Ukitaka Hip Hip Tanzania wapo wasanii wengi na mahiri katika muondoko huu wa hip...
1 Reactions
4 Replies
44K Views
www.OldSchoolMusic.net
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Ni mida ya saa kumi na moja saa za jioni kijana anampigia simu rafiki yake na kusema "samahani rafiki yangu ninashida na hela, mama yangu anaumwa na hapa nilipo sina pesa ya matibabu. Rafiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa JF. Yaliyojiri Mkoani Mbeya Leo kwa picha. Dr Tulia azidi kuthibitisha ubora wake. Masahihisho! Tamasha lilifanyika Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nalikubali sana hili game kiasi kwamba nimekua addicted nalo tangu nianze kulicheza tangu 2018 January.Kwa sasa nina black balls 45 akiwemo messi, Ronaldo, De bruyne, Lewandoski, Mbappe,Allison...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I am talking about the old school Pro-Black Liberation Hip Hop. Not this current pimp,fake gangsta,fake thug stuff. Groups like ? 1. Public Enemy 2. X-Clan 3. KRS-ONE 4. KAM 5. Poor Righteous...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana Jf Several days nmeona huyu dogo ambaye ni mwanamuziki mzuri tu kwenye Game la muziki sasa anatembea na Drip ambayo inasemekana ni ya kuongeza Nguvu kuondoka stress maana wanasema yuko...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Msanii aliyetamba miaka kadhaa ya nyuma Lawrence Malima (Marlaw) amerudi tena kwenye game baada ya kimya kirefu, kaachia wimbo" Taa" sasa kuna vijana...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa JF. Mheshimiwa Naibu Spika Dr Tulia Ackson amezindua Tamasha la Kiutamaduni - Tulia Traditional Dances Festival 2019 Mkoani Mbeya. Hongera sana Mheshimiwa kwa kuenzi, kuendeleza na...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Tamasha la Utamaduni kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST 2019) linaendelea Uwanja Wa Taiga jijini Dar es Salaam. Tembelea Tamasha hilo ujionee mambo mengi ya kiasili zikiwemo ngoma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NYEMO CHILONGANI. SHAMBULIO LA DAMU 0718069269. Sehemu ya kwanza. Dunia nzima ilikuwa kimya kwa muda, hakukuwa na mtu aliyeamini kile kilichokuwa kimetokea. Waliokuwa mbali na televisheni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Vietnam War veteran John Rambo tries to find some semblance of peace by raising horses on a ranch in Arizona. He's also developed a special familial bond with a woman named Maria and her teenage...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara ghafla nawai kwenye dala dala, Jstar1 mwenyewe, ile nakarbia tu kukaa kwenye seat, mara ghafla ety naunguza mboga, wakati kipindi naanza kupika nilijua kabisa mimi siwezi kucheza mpira. Sasa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sasa hapa amechora vipanya vyake vinajiendeaga tu hata havisemi kitu .
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika historia ya muziki wetu Tanzania kumekuwepo album nyingi mno hasa kipindi cha miaka 15 iliyopita ambapo bado album za wanamuziki zilikuwa na soko kubwa hapa Tanzania. Nafahamu album...
9 Reactions
92 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…