The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,229
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Msanii aliyetamba miaka kadhaa ya nyuma Lawrence Malima (Marlaw) amerudi tena kwenye game baada ya kimya kirefu, kaachia wimbo" Taa" sasa kuna vijana wajiandae kwa changamoto anayoleta marlaw