Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Wana Jf Several days nmeona huyu dogo ambaye ni mwanamuziki mzuri tu kwenye Game la muziki sasa anatembea na Drip ambayo inasemekana ni ya kuongeza Nguvu kuondoka stress maana wanasema yuko depressed sana.
Je, nini kinamtafuna huyu dogo?
Wenye kujua waje na ukweli wa mambo.
Je, nini kinamtafuna huyu dogo?
Wenye kujua waje na ukweli wa mambo.