Dkt. Tulia aweka historia, azindua tamasha la kiutamaduni Mbeya

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau wa JF.

Mheshimiwa Naibu Spika Dr Tulia Ackson amezindua Tamasha la Kiutamaduni - Tulia Traditional Dances Festival 2019 Mkoani Mbeya.

Hongera sana Mheshimiwa kwa kuenzi, kuendeleza na kuheshimu Tamaduni zetu.

FB_IMG_15695105140281850.jpg
FB_IMG_15695104981195848.jpg
FB_IMG_15695104918198275.jpg
FB_IMG_15695104766296790.jpg
FB_IMG_15695104358301953.jpg
 
Thread Haina Picture, Kwani Mwaka Jana Hukuwepo Tanzania Ukasikia Kuhusu Hizo Ngoma Za Tulia
 
Huyu Dr. Tulia hana tofauti na Polepole, unashindwa wapo katika kundi lipi la wazee au vijana?
 
Hivi ngoma zinasaidiaje kukuza uchumi na kupiga vita umaskini jijini Mbeya??:rolleyes:
 
Hivi ngoma zinasaidiaje kukuza uchumi na kupiga vita umaskini jijini Mbeya??:rolleyes:
Hakuna lolote la maana zaidi ya kuongezeka kwa maambukizi ya ukimwi tunashukuru mwaka huu tamasha limeanza Jana na mvua inanyesha non stop toka jana.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom