Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Game Loading...
Welcome to PS...
Wait...
______________________________
Wakuu sina maneno mengi ila kama wewe ni mdau wa hii kitu tukutane hapa.
Binafsi naiwaza CALL of DUTY 'Modern' nasikia inatoka October 24, can't wait more [emoji452] maana naona advert zake inaonekana ni kitu makini.
Pia Updates za game nyingine nyingi naona ni hii miezi Sept to Oct.