Kwa wale wapenzi wa PES Mobile

Kwa wale wapenzi wa PES Mobile

Kumar Singh

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,064
Reaction score
2,439
Nalikubali sana hili game kiasi kwamba nimekua addicted nalo tangu nianze kulicheza tangu 2018 January.Kwa sasa nina black balls 45 akiwemo messi, Ronaldo, De bruyne, Lewandoski, Mbappe,Allison, Sane nk.
Napendelea zaidi kucheza online matches lakini pia campaign ambayo kwa sasa nipo level 40.
Kama kuna wadau wa pes mobile pia humu naomba uandike user ID yako nikuadd ili tuweze kupasha friend matches.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom