Congo music special thread

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
Jamani nimeleta thread hii tujuzane, kukumbushana na kusaidiana kupata nyimbo mbalimbali za kikongo(BOLINGO, NDOMBOLO, MAYENU SOUKOUS, ZOUK n.k.). Pia kupata habari za wasanii wa congo wapi walipo km wanaendelea na muzik na nyimbo zao za hivi karibuni.
Kwa kuanza, kupata wimbo wwte wa kongo au popote kuna website inaitwa mp3lio.com, hp utaandika jina la wimbo au msanii na zitakuja nyimbo zoooote za huyo msanii!

Pia napenda kujua walipo wasanii wafuatao
1. YONDO SISTER
2. EXTRA MUSICA
3. SHIMITA EL DIEGO
4. LOKASA YA MBONGO
5. AURLUS MABELE(LOKETO)
6. SOUKOUS STARS
7. BOZBOZIANA
 
aisee hakuna kundi nililopata kurikubari kama la

WENGE MUSICALBCBC a.ka
4×4 Offroad a.k.a
KOLO AESTHETICS a.ka
The Adorable A

likiongozwa na LEGENDARY
The Sovereign 1st au
Bin Adam au
Marshal Mukulu Bakulu wa Papa Cheri au
The Measurement Unit au kama alivyopewa na wazazi wake
JEAN-BEDER MPIANA WA TISHTUKA
ila wengi wamemzoea kama
JB mpiana(mutu ya watu mutu muzito)
akiwa na vichwa vikari kama
DIDIER masela
blaise bula
alimelia liasi demingongo
werrason
elongo lodi
alein mpelasi

wapiga gitaa hatari
Alain makaba "Internet Computer memories"
Patient Kusangila Lutu
Christian Mwepu Mabanga
Roberto Wunda Ekokota
na wengine wengi


ni kipindi hicho kabla hawajasambalatika vipande vipande lazima uwapende tu utake usitake
kwa kipindi kile na mpaka sasa sijaona HAKUNAGAAA
 
Mmenikumbusha zubeir msabaha alinifanya niwe namuibia mzee radio kila j4 RFA alafu nasubiria makofi asubuh ,,
 
42a56153201cde611490bf84f9b885f9.jpg
chimbo langu apa full kudowload mixes kali za kikongo nonstop,, via videoder
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom